Mwanafunzi anayesoma kidato cha tano katika moja ya shule ya sekondari iliyopo mkoani Tanga, Benadeta Silvester (21) ...
Mwanafunzi anayesoma kidato cha tano katika moja ya shule ya sekondari iliyopo mkoani Tanga, Benadeta Silvester (21) amefariki dunia baada ya kukabwa koo na mpenzi wake, Adamu Kailanga (30) ...
Waliofariki dunia na kutambuliwa katika ajali hiyo ni Hamisi Mkumbuka (Saa Mbovu), Bujaga Rashid, Adamu Maneno (Mkweguto), wote wakazi wa Maili Kumi, wilayani Handeni. Wengine ni Sawebu Juma (Kashaija ...
Wagombea waliokatwa ni pamoja na Mwangasa, Twaha Mwaipaya, Dk. Msofe, Rose Mayemba, Adamu Chagulani na Hossiana Kusiga. Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika alitolea ufafanuzi jambo hilo, akisema: ...