Mwanafunzi anayesoma kidato cha tano katika moja ya shule ya sekondari iliyopo mkoani Tanga, Benadeta Silvester (21) ...
Mwanafunzi anayesoma kidato cha tano katika moja ya shule ya sekondari iliyopo mkoani Tanga, Benadeta Silvester (21) amefariki dunia baada ya kukabwa koo na mpenzi wake, Adamu Kailanga (30) ...
Mabingwa watetezi wa Afcon Ivory Coast wamewekwa katika kundi moja na Cameroon katika hatua ya makundi ya fainali za Mataifa ...
Familia ya Abdullahi ilianza kujihusisha na kazi hiyo miaka ya 1970 kupitia ndugu wawili - Ibrahim na Adamu. Ndugu hao sasa wamelala chini ya udongo kwenye mava hiyo, na watoto wao wamekuwa ...
Waliofariki dunia na kutambuliwa katika ajali hiyo ni Hamisi Mkumbuka (Saa Mbovu), Bujaga Rashid, Adamu Maneno (Mkweguto), wote wakazi wa Maili Kumi, wilayani Handeni. Wengine ni Sawebu Juma (Kashaija ...
Wasaidizi wa droo hiyo walikuwa wachezaji wa zamani - McDonald Mariga wa Kenya, Mrisho Ngasa wa Tanzania na Hassan Wasswa wa Uganda huku mkurugenzi wa mashindano wa CAF, Samson Adamu akisimamia ...
Wagombea waliokatwa ni pamoja na Mwangasa, Twaha Mwaipaya, Dk. Msofe, Rose Mayemba, Adamu Chagulani na Hossiana Kusiga. Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika alitolea ufafanuzi jambo hilo, akisema: ...