MBINU za makocha Ahmad Ally (JKT Tanzania) na Miloud Hamdi (Yanga) zimeonekana kutoshana nguvu katika dakika 45 za kwanza ...
ATLETICO Madrid ni miongoni mwa timu kubwa zinazohitaji saini ya straika wa Crystal Palace, Mfaransa Jean-Philippe Mateta, 27 ...
MECHI ya Galatasaray kwenye Super Lig dhidi ya Adana Demirspor imevunjika baada ya timu ya ugenini kugoma kuendelea na mchezo ...
KOCHA Fadlu Davids kesho ana kazi ya kuiongoza Simba kurekebisha ilipokosea mechi iliyopita itakapoikaribisha Tanzania ...
BEKI wa mpira, Sergio Ramos ameripotiwa kushtua wengi kwa uhamisho wake wa kwenda Mexico bila ya mkewe mrembo Pilar Rubio.
MANCHESTER United bado haitajwi kama timu yenye nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa Kombe la FA licha ya miamba minne kwenye ...
Miaka ya 1980 na hata nusu ya kwanza ya miaka ya 1990 hakukuwa na tofauti kubwa ya nguvu za kiuchumi na ufundi kati ya soka ...
Achana na ushindi wa mabao 2-0 waliopata Ken Gold dhidi ya Fountain Gate, ishu ilikuwa ni staili ya ushangiliaji wa nyota wa ...
WACHEZAJI saba kati ya 37 waliopata majeraha katika ajali ya gari la timu ya Dodoma Jiji FC bado wanapatiwa matibabu katika ...
BAADA ya Pamba Jiji kuvuna pointi sita katika mechi mbili mfululizo mara ya kwanza msimu huu katika Ligi Kuu Bara, kocha wa ...
MSHAMBULIAJI wa Simba, Lionel Ateba amemtaja beki wa timu hiyo, Che Fondoh Malone kama mtu aliyechangia kwa kiasi kikubwa ...
WIMBO ambao Rais Benjamin Mkapa alikuwa anaupenda ni ule wa ‘Tazama ramani’. “Tazama ramani utaona nchi nzuri yenye mito na ...