Hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu jinsi Trump atakavyoweza kuchukua udhibiti wa Gaza. Tangazo hilo lililaaniwa kote ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru na Rais wa Marekani Donald Trump wamekutana kwa mara ya kwanza kwa ajili ya mkutano wao. Viongozi hao wawili walikubaliana kuimarisha uwezo wa kuzuia na kujibu ili ...
Beijing kuchagua bidhaa zinazotoka Marekani kuzitoza ushuru inaweza kuwa hatua ya ufunguzi kabla ya mazungumzo wa mataifa ...
Mkutano huu unatarajiwa kuzinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku ukitanguliwa na mafunzo yanayotarajiwa kufanyika Machi 4, jijini hapa.
Sambamba na Kenya, siku chache kabla ya kutolewa taarifa hii, sirkal iliangaza mikakati ya kupata njuluku za diaspora wetu ...
Mataifa mawili makubwa kiuchumi duniani Marekani na China yanajiandaa kwa vita nyingine kubwa ya kibiashara na tayari ...
MJADALA katika toleo lililopita ulibainisha kuwa, maboresho ya kodi na miundo ya ujumuishaji ya hatua kwa hatua ...
Siku zote ametamani kuona Afrika na mabara mengine yanaungana kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kupitia matumizi ya ...
Bustani hii ambayo mara nyingi hutumia mbolea asilia husaidia kupambana na mabadiliko ya tabianchi kwa kupunguza uzalishaji wa gesi chafu na pia kutunza udongo. Bustani hii hutumika kwa kilimo cha ...
Pia, alisema kupitia mpango huo, Tanzania imejipanga kutekeleza mambo manne ikiwamo kuongeza uzalishaji wa umeme kutokana na nishati mchanganyiko kwamba mpaka sasa ina uwezo wa kuzalisha megawati ...
Vipodozi hutumiwa na mabilioni ya watu kuanzia wanasiasa, watu maarufu na mashuhuri duniani, wanapaka kucha rangi, dawa kwenye nywele za asilia ,mafuta na krimu kwenye ngozi, urembo maalumu usoni, ...