Mkutano huu unatarajiwa kuzinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku ukitanguliwa na mafunzo yanayotarajiwa kufanyika Machi 4, jijini hapa.
Beijing kuchagua bidhaa zinazotoka Marekani kuzitoza ushuru inaweza kuwa hatua ya ufunguzi kabla ya mazungumzo wa mataifa ...
Mataifa mawili makubwa kiuchumi duniani Marekani na China yanajiandaa kwa vita nyingine kubwa ya kibiashara na tayari ...
Utunzaji wa bustani ya nyumbani, ni mbinu mpya ya kilimo inayolenga kutimiza malengo matatu kwa wakati mmoja: kuongeza mapato ...
"Tutalipiza kisasi ... dola kwa dola," ameiambia BBC, akikejeli sababu ya Trump juu ya dawa za kulevya za fentanyl na kusema Canada "itajibu."mgombeaji wa nafasi ya waziri mkuu wa nchi hiyo, Mark Carn ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ...
Ukoma ni ugonjwa unaoathiri sana ngozi na unaweza kuharibu baadhi ya viungo kama vile mikono ,miguu na hufanya mtu kutengwa ...
Wizara ya Mazingira ya Japani inasema msimu wa chavua umeanza mapema mwaka huu. Msimu wa mzio kwa kawaida huanza mwezi ...
Tanzania ikiwa inafungua mkutano wa masuala ya nishati unaokutanisha wakuu wa nchi za Afrika kesho, wadau mbalimbali ...
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi ...
Kwa mujibu wa TPDC kwa sasa eneo hilo wanalotumia kujenga kituo mama cha kujaza gesi asilia kwenye magari, wamekodi kwa ...
Amesema wizara imeendelea kupeleka nishati vijijini ikiwemo kusambaza umeme katika vitongoji Tanzania Bara pamoja na kutekeleza miradi ya kielelezo na kimkakati ya mafuta na gesi asilia ikiwa ni ...