Ufaransa inatoa wito kwa vikosi vya Rwanda "kuondoka kwa haraka" Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi lenye silaha la M23 ambalo wanaliunga mkono "kujiondoa mara moja kutoka katika maeneo ...
Rais wa DRC , Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo.
Amakuru avuga ko imiryango yabo yari yegereye ubutegetsi bwa Romania isaba ko bugira icyo bukora ngo batahe mu mahoro.
GOMA : MAPIGANO katika mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yamesababisha vifo vya watu 17 na ...
Mapigano katika mji uliozingirwa wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesababisha vifo vya takriban watu ...
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha leo kuwa jeshi la Rwanda linahusika katika mapigano ...
Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, unaamka baada ya usiku tulivu, ...
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 ...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha hivi leo uwepo wa jeshi la Rwanda huko Goma, ambako waasi wa M23 ...