Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete amelalamika kutokana na kile alichosema ni kutumiwa vibaya kwa picha zake mtandaoni na 'kulishwa maneno'. Takriban mwaka mmoja tangu astaafu, Bw Kikwete ...
RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amewaonya watanzania kuacha kutumia mwamvuli wa dini kujenga chuki na kuleta mifarakano katika jami, hali inayochochea machafuko na uvunjifu wa amani. Kikw ...
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewaonya watu wanaosababisha uvunjifu wa amani nchini humo kuwa watakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria. Onyo hilo linafuatia ghasia ambapo ofisi kadha ...