![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Home - Mtanzania
2025年2月2日 · Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya ...
Waziri Mkuu aeleza mikakati ya Serikali kuhusu mabadiliko ya sera …
4 天之前 · WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo ili kuweza kumudu kutekeleza maeneo yote muhimu yakiwemo ya sekta ya afya, elimu na maji. Ameyasema hayo leo Alhamisi Februari 6, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa ...
BREAKING NEWS - Mtanzania
2015年3月11日 · Gazeti la Mtanzania "Fikra Yakinifu" ni gazeti makini linalogusa maisha ya mamilioni ya watanzania wa rika na jinsia zote. Mtanzania ni gazeti la kitaifa la kila siku linajivunia rekodi ya kuwa huru na kuaminika kubeba Habari, Makala na chambuzi, siasa, uchumi, elimu, michezo na burudani zenye ajenda za watanzania katika mtazamo wa kitanzania.
Habari Kuu Archives - Mtanzania
2025年1月31日 · Biashara na Uchumi Maandalizi ya mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi Afrika (MISSION 300) yamefikia 95%-Dk. Biteko
MEI MOSI 2024; Kikokotoo kufanyiwa uchambuzi, nyongeza
2024年5月1日 · Na Nora Damian, Mtanzania Digital Serikali imesema imepokea hoja ya wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo na kuahidi kukifanyia uchambuzi zaidi. Aidha imesema itaendelea kuhuhisha viwango vya mishahara kwa kuzingatia uwezo wa kiuchumi na kibajeti pamoja na ujuzi wa utendaji wa waajiriwa. Hakikisho hilo limetolewa leo Mei Mosi,2024 na Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, wakati wa sherehe za ...
Tanzania yapiga hatua uchumi wa Kidigitali, yasaini makubaliano …
2024年10月22日 · Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeingia makubaliano muhimu na Kampuni ya Huduma za Mawasiliano ya Kielektroniki ya China (CECIS LTD) ambayo yanatarajiwa kuleta uwekezaji mkubwa na kutoa mafunzo kwa Watanzania. Kupitia makubaliano hayo, zaidi ya makampuni 600 ya vifaa vya kompyuta yataweza kuwekeza nchini Tanzania, lengo likiwa ni ...
Rais Samia apewa Tuzo - Mtanzania
6 天之前 · Rais Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Februari 4, 2025. Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya ...
Nyerere’s Footsteps, Samia Urges G20 to Rethink Global Economic …
2024年11月20日 · By Absalom Kibanda, Rio de Janeiro-Brazil President Samia Suluhu Hassan has rekindled the enduring vision of Tanzania’s founding father, Mwalimu Julius Nyerere, by challenging the world’s richest nations to rethink their approach to global poverty and inequality during her address at the G20 summit in Rio de Janeiro, Brazil. Speaking to an audience of the most powerful leaders and ...
Serikali kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji, yawaita …
2024年11月19日 · Na Nora Damian, Mtanzania Digital Serikali imesema itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ikiwemo kuboresha miundombinu ya umeme na usafirishaji na kutoa wito kwa kampuni za ndani na nje kuwekeza katika sekta ya madini hapa nchini. Akizungumza leo Novemba 19,2024 wakati akifungua mkutano wa sita wa kimataifa wa wawekezaji katika sekta ya madini nchini, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ...
Kitaifa Archives - Mtanzania
2025年1月26日 · Afya na Jamii Watoto wa Tanzania; Mabalozi wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi shuleni